***************************************
Mvua kubwa ikiambatana na radi inaendelea kunyesha jijini Dar na miundombinu ya barabara inadaiwa kuathirika hivyo kupelekea watu kukwama kuendelea na shughuli zao za kila siku.
Athari kubwa zimetokea katika maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam kwani baadhi ya wakazi wamelazimika kuhama kukwepa kuharibu vitu vyao, nyumba nyingi zimezungukwa na maji na kuhatarisha magunjwa ya mlipuko.
Biashara nyingi zilibaki zimefungwa wakati katika suala la baabara baadhi kufungwa kutokana na kujaa maji