Home Michezo YANGA YAANZA KUSHUSHA MAJEMBE MAPYA

YANGA YAANZA KUSHUSHA MAJEMBE MAPYA

0

Mwenyekiti wa Yanga SC, Dk Mshindo Msolla (kulia) na Katibu Mkuu, David Luhago (kushoto) wakimshuhudia mshambuliaji mpya, Tarik Seif Kiakala akisaini wa kujiunga na timu hiyo leo makao makuu ya klabu, Jangwani mjini Dar es Salaam