Home Michezo TANZANIA BARA YAICHAPA 3-1 KENYA CECAFA CHALLENGE WANAWAKE U17 NCHINI UGANDA

TANZANIA BARA YAICHAPA 3-1 KENYA CECAFA CHALLENGE WANAWAKE U17 NCHINI UGANDA

0

Mabao ya Thabea Munga dakika ya 19, Joyce Meschak dakika ya 45 na Asha Masaka dakika ya 75 yameipa Tanzania Bara ushindi wa 3-1 dhidi ya Kenya katika mchezo wa Kombe la CECAFA Challenge U17 leo mjini Kampala, Uganda.