Nahodha wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia bao la tatu dakika ya 69 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya West Ham United jana Uwanja wa London, huo ukiwa ushindi wa kwanza katika mechi 10 za Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Arsenal katika ushindi huo wa kwanza pia kwa Freddie Ljungberg tangu arithi mikoba ya Mfaransa, Unai Emery yalifungwa na Gabriel Martinelli dakika ya 60 na Nicolas Pepe dakika ya 66, wakati la West Ham lilifungwa na Angelo Ogbonna dakika ya 38 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
ARSENAL YAFUTA GUNDU,YAICHAPA 3-1 WEST HAM NA KUSHINDA MECHI YA KWANZA KATI YA 10
By Alex Sonna
December 10, 2019 | 10:08 am

Related Stories
View all
Michezo
12 hours ago
YANGA SC YATWAA NGAO YA JAMII KWA USHINDI WA BAO 1-0 DHIDI YA SIMBA
Klabu ya Yanga SC imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ngao ya Jamii baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba SC katika…
Michezo
19 hours ago
MHE. BALOZI OMAR: MBEYA INA FURSA KUBWA YA KUONGEZA MCHANGO WAKE KATIKA UCHUMI WA TAIFA
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mbeya,…
