Home Michezo NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA MIAKA 58 YA UHURU WA TANZANIA...

NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA MIAKA 58 YA UHURU WA TANZANIA BARA

0

Bendi maarufu ya muziki wa dansi Ngoma Africa Band almaarufu FFU-Ughaibuni yenye makao nchini Ujerumani,inawatakia kila la heri katika kusherehekea miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania bara . Salam hizi za heri ya 9 Disemba ziwafikie watanzania wote walio nyumbani na nje ya nchi.Ngoma Africa band chini ya uongozi wake Kamanda ras Makunja unaweza kuwasikiliza pia katika kambi yao ya FFU-ughaibuni bofya http://www.ffacebook.com/ngomaafricaband