Wafanyakazi wa kampuni ya Vodacom wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa simu ya mkononi aina ya smart kitochi kwa Mikoa ya Kanda ya Kaskazini yenye uwezo mkubwa wa internet ya 4G iliyofanyika viwanja vya kituo cha mabasi Mjini Moshi.
Baadhi wafanyakazi wa kampuni ya Vodacom wakifurahia uzinduzi wa simu ya mkononi aina ya smart kitochi kwa Mikoa ya Kanda ya Kaskazini yenye uwezo mkubwa wa internet ya 4G iliyofanyika viwanja vya kituo cha mabasi Mjini Moshi
Meneja wa Vodacom Kanda ya Kaskazini Brigita Stephen(kushoto) akizindua simu ya mkononi aina ya smart kitochi kwa Mikoa ya Kanda ya Kaskazini yenye uwezo mkubwa wa internet ya 4G iliyozunduliwa Mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro.