Home Mchanganyiko RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWEKA MAWE YA MSINGI MIRADI YA UJENZI WA...

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWEKA MAWE YA MSINGI MIRADI YA UJENZI WA MELI MPYA YA M.V MWANZA (Hapa Kazi Tu), CHELEZO, PAMOJA NA UKARABATI WA M.V VICTORIA NA M.V BUTIAMA KATIKA ZIWA VICTORIA MKOANI MWANZA

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais
Samia Suluhu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job
Ndugai pamoja na viongozi wengine wakimsikiliza Msimamizi wa mradi
wa ujenzi wa Chelezo na ukarabati wa Meli za M.V Victoria na Butiama
katika Ziwa Victoria Meja Abel Gwanafyo akitoa maelezo kuhusu miradi
hiyo kwenye sherehe za uwekaji Mawe ya Msingi zilizofanyika katika
eneo la Bandari ya mizigo Igogo Jijini Mwanza. Disemba 08, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa akikagua Ujenzi wa Meli mpya ya M.V Mwanza (Hapa kazi
Tu) wakati wakimsikiliza Msimamizi wa mradi wa ujenzi wa Chelezo na
ukarabati wa Meli za M.V Victoria na Butiama katika Ziwa Victoria
Meja Abel Gwanafyo akitoa maelezo kwenye sherehe za uwekaji Mawe
ya Msingi zilizofanyika katika eneo la Bandari ya mizigo Igogo Jijini
Mwanza. Disemba 08,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihotubia katika Sherehe za
Uwekaji Mawe ya Msingi Miradi ya Ujenzi wa Meli Mpya ya M.v
Mwanza (Hapa kazi Tu), Chelezo na ukarabati wa Meli za M.V Victoria
na Butiama katika Ziwa Victoria zilizofanyika katika eneo la Bandari ya
mizigo Igogo Jijini Mwanza. Disemba 08, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais
Samia Suluhu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job
Ndugai pamoja na viongozi wengine wakivuta kitambaa kuashiria
uwekaji Mawe ya Msingi Miradi ya Ujenzi wa Meli Mpya ya M.v
Mwanza (Hapa kazi Tu), Chelezo na ukarabati wa Meli za M.V Victoria
na Butiama katika Ziwa Victoria katika sherehe zilizofanyika eneo la
Bandari ya mizigo Igogo Jijini Mwanza. Disemba 08, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwachangia Kwaya ya AIC
Makongoro ya Jijini Mwanza walipokuwa wakiimba kwenye sherehe za
uwekaji Mawe ya Msingi Miradi ya Ujenzi wa Meli Mpya ya M.v
Mwanza (Hapa kazi Tu), Chelezo na ukarabati wa Meli za M.V Victoria
na Butiama katika Ziwa Victoria zilizofanyika katika eneo la Bandari ya
mizigo Igogo Jijini Mwanza. Disemba 08, 2019.

Kwaya ya AIC Makongoro ya Jijini Mwanza
walipokuwa wakiimba kwenye sherehe za uwekaji Mawe ya Msingi
Miradi ya Ujenzi wa Meli Mpya ya M.v Mwanza (Hapa kazi Tu),
Chelezo na ukarabati wa Meli za M.V Victoria na Butiama katika Ziwa
Victoria zilizofanyika katika eneo la Bandari ya mizigo Igogo Jijini
Mwanza. Disemba 08, 2019.

Muonekano wa Chelezo inayojengwa katika eneo
la Bandari ya mizigo Igogo Jijini Mwanza. Disemba 08, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais
Samia Suluhu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job
Ndugai pamoja na viongozi wengine wakiinua mikono juu kwa umoja na
furaha mara baada ya uwekaji Mawe ya Msingi Miradi ya Ujenzi wa
Meli Mpya ya M.v Mwanza (Hapa kazi Tu), Chelezo na ukarabati wa
Meli za M.V Victoria na Butiama katika Ziwa Victoria katika sherehe
zilizofanyika eneo la Bandari ya mizigo Igogo Jijini Mwanza. Disemba
08, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkandarasi wa
Ujenzi wa Meli mpya ya M.V Mwanza Bw. Dowan Kim kutoka kampuni
ya STX Engine mara baada ya sherehe za uwekaji Mawe ya Msingi