Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, CGP – Phaustine Kasike akisalimiana na Maafisa waandamizi wa Magereza Mkoani Mwanza alipowasili leo Desemba 4, 2019 akitokea Mkoani Geita kwa shughuli za kikazi.
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, CGP – Phaustine Kasike akisisitiza jambo wakati akizungumza na Maafisa waandamizi wa Magereza Mkoani Mwanza alipowasili leo Desemba 4, 2019 akitokea Mkoani Geita kwa shughuli za kikazi.
Baadhi ya Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza Mkoani Mwanza wakifuatilia mazungumzo ya Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, CGP – Phaustine Kasike(hayupo pichani) leo Desemba 4, 2019 alipowasili jijini Mwanza akitokea Mkoani Geita kwa shughuli za kikazi.
Kamishna Jenerali wa Magerezanchini, CGP – Phaustine Kasike(kushoto vazi la kiraia) akiteta jambo na Mkuu wa Magereza Mkoani Mwanza, SACP. Hamza Hamza
Picha zote na Jeshi la Magereza