Spika wa Bunge la Vijana 2019, Ndg. Ramadhan Singa akiongoza Mkutano wa Sita Kikao cha Nne cha Bunge la Vijana 2019 katika Ukumbi wa Msekwa leo Bungeni Jijini Dodoma.
Mshiriki wa Bunge la Vijana 2019 kutoka Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU), Ndg. Zuwena Juma akiuliza swali kwa Waziri Mkuu wa Bunge la Vijana 2019, Ndg. Alvin Festus (hayupo kwenye picha) wakati wa maswali kwa Waziri Mkuu katika Mkutano wa Sita Kikao cha Nne cha Bunge la Vijana 2019 katika Ukumbi wa Msekwa leo Bungeni Jijini Dodoma.
Washiriki wa Bunge la Vijana 2019 wakiwa Mkutano wa Sita Kikao cha Nne cha Bunge la Vijana 2019 unaondelea leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma
Waziri Mkuu wa Bunge la Vijana 2019, Ndg. Alvin Festus akijibu maswali kutoka kwa Washiriki wa Bunge hilo wakati wa Mkutano wa Sita Kikao cha Nne cha Bunge la Vijana 2019 katika Ukumbi wa Msekwa leo Bungeni Jijini Dodoma.
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni wa Bunge la Vijana 2019, Ndg. Mussa Elias akiomba muongozo wa Spika wakati wa maswali kwa Mawaziri katika Mkutano wa Sita Kikao cha Nne cha Bunge la Vijana 2019 katika Ukumbi wa Msekwa leo Bungeni Jijini Dodoma.
Mshiriki wa Bunge la Vijana 2019 kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Ndg. Mnemo Salim akiuliza swali kwa Waziri Mkuu wa Bunge la Vijana 2019, Ndg. Alvin Festus (hayupo kwenye picha) wakati wa maswali kwa Waziri Mkuu katika Mkutano wa Sita Kikao cha Nne cha Bunge la Vijana 2019 katika Ukumbi wa Msekwa leo Bungeni Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)