Home Mchanganyiko Heri ya Siku Ya Mtoto Duniani kutoka Benki ya NMB

Heri ya Siku Ya Mtoto Duniani kutoka Benki ya NMB

0

***********************************

Katika kuadhimisha #SikuYaMtotoDuniani, jengo  la Benki ya NMB Makao Makuu liliwasha taa za bluu kuunga mkono Shirika la uniceftanzania katika maadhimisho ya kumbukizi ya miaka 30 ya Mkataba juu ya Haki za Mtoto

Ni wakati wa kuwaunga mkono na kuwawezesha watoto na vijana ambao wanasimamia na kudai haki zao kote Ulimwenguni ni sasa.