Home Michezo WANAFUNZI WA SHULE YA BWIRU GIRLS WAKIFANYA JOGGING

WANAFUNZI WA SHULE YA BWIRU GIRLS WAKIFANYA JOGGING

0

Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza,Salum Kalli akizungumza na wanafunzi wa Shule  ya Sekondari Bwiru Wasichana jana baada ya  kufanya nao mazoezi ya kiungo pamoja. PICHA ZOTE NA BALTAZAR MASHAKA MWANZA.

Mwalimu wa Shule ya Sekondari Bwiru Wasichana akiwaongoza wanafunzi wa shule hiyo kufanya mazoezi pamoja  na Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza, Salum Kalli jana.

Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza,Salum Kalli, wa tatu kutoka kukaa akishikiru mazoezi ya viungo pamoja na wanafunzi wa Shule  ya Sekondari Bwiru Wasichana jana.

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bwiru Wasichana wakifanya mazoezi ya kujenga  mwili pamoja na Katibu  wa CCM Mkoa wa Mwanza, Salum Kalli, wa pili kutoka kila jana.