Home Mchanganyiko SIKU YA PILI YA KIKAO KAZI CHA WAKUU WA VYUO NA TAASISI...

SIKU YA PILI YA KIKAO KAZI CHA WAKUU WA VYUO NA TAASISI ZA MAENDELEO YA JAMII NA USTAWI WA JAMII MKOANI MOROGORO

0

Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Jamii Patrick Golwike (kushoto) akizungumza katika siku ya pili ya kikao kazi kilichowakutanisha Wakuu wa vyuo na Taasisi za Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii nchini kilichofanyika mkoani Morogoro.

Mkurugenzi wa TEHAMA kutoka Wizara ya Mawasiliano Bw. Mulengwa Munaku akitoa mada kuhusu ubunifu na Teknkolojia katika siku ya pili ya kikao kazi kilichowakutanisha Wakuu wa vyuo na Taasisi za Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii nchini kilichofanyika mkoani Morogoro.

Mkuu wa Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru Dkt. Bakari George  akitoa mada kuhusu ushiriki wa vyuo vya Maendelo ya Jamii katika kutatua changamoto za jamii inayovizunguka katika siku ya pili ya kikao kazi kilichowakutanisha Wakuu wa vyuo na Taasisi za Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii nchini kilichofanyika mkoani Morogoro.

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Utawalana Rasilimali Watu kutoka Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bw. Marko Masaya (wa pili kushoto) akizungumzia masuala ya kiutawala katika siku ya pili ya kikao kazi kilichowakutanisha Wakuu wa vyuo na Taasisi za Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii nchini kilichofanyika mkoani Morogoro.