Home Mchanganyiko MAJALIWA AJIONEA KOROSHO NA KARANGA ZILIZOFUNGASHWA NA WAJASIRIAMALI MTWARA

MAJALIWA AJIONEA KOROSHO NA KARANGA ZILIZOFUNGASHWA NA WAJASIRIAMALI MTWARA

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama korosho na karanga zilizofungashwa na wajasiriamali, Fatina Masungwa (kulia), Shani Mpokwa (wa pili kulia) na  Winfrida Nzelawi nje ya ukumbi wa Tawi la Benki Kuu Р Mtwara baada ya kufungua Kongamano la Biashara na Wakandarisi kwa Kanda ya Kusini, Novemba 18, 2019 . Wa pili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB iliyoandaa kongamano hilo, Abdulmajid Nsekela. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)