Home Siasa MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR NA RAIS WA ZANZIBAR.DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WAZEE...

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR NA RAIS WA ZANZIBAR.DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WAZEE WA WILAYA YA DIMANI KICHAMA LEO.17-11-2019

0

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzia na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Dimani Kichama Ndg.Hussein Ali Mgema (Kimti) kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar. Dr, Abdalla Juma Sadala, wakati akiwasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani kwa ajili ya mkutano wake na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Dimani leo 17-11-2019.(Picha na Ikulu)

KATIBU wa CCM Wilaya ya Dimani Ndg.Yussuf Ramadhani Abdalla akiwasilisha Taarifa fupi ya Wazee wa CCM, wakati wa mkutano wao na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjiniu Amani, leo 17-11-2019.(Picha na Ikulu)

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa Taarifa ya Wazee wa Wilaya ya Dimani Kichana na Katibu wa CCM Wilaya ya Dimani Ndg. Yussuf Ramadhani Abdalla na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr, Abdalla Juma Sadala Mabodi wakati wa hafla ya mkutano wake na Wazee uliofanyika leo 17-11-2019 katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani.(Picha na Ikulu)

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr, Abdalla Juma Sadala Mabodi akizungumza wakati wa hafla ya mkutano na Wazee wa CCM Wilaya ya Dimani Kichama uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM  Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar.(Picha na Ikulu).

BAADHI ya Washauri wa Rais wa Zanzibar na Viongozi wa CCM na Wazee wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ).

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wazee wa CCM wa Wilaya ya Dimani Kichama katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar,(kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Dimani Kichama Ndg.Hussein Ali Mgema.(Picha na Ikulu)