Meneja wa kiwanda cha TDL,Aranyaeli Ayo Akiongea Katika hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Meneja Masuala Endelevu wa TBL,Irene Mutiganzi Akiongea Katika hafla hiyo.
Meneja wa kiwanda cha TDL,Aranyaeli Ayo, akikabidhi mascada kwa Naibu Kamishna wa Polisi,Afwilile Mponi
Wawakilishi wa shule za sekondari zilizopata msaada wa printer kutoka TDL wakizipokea Katika hafla hiyo
……………….
Hafla ya kukabidhi msaada msaada huo ilifanyika jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Maofisa wa Polisi,walimu na baadhi ya wafanyakazi wa TDL.
Wawakilishi kutoka taasisi zilizopatiwa msaada walishukuru kampuni hiyo kwa jitihada mbalimbali ambazo imekuwa ikifanya kukabiliana na changamoto za kijamii.Shule zlizopatiwa msaada huo ni sekondari ya Charambe,Sekondari ya Kichanga, Tuangoma, na Pendamoyo