Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Kelvin John akiwa na chipukizi mwenzake wa akademi ya Leicester City katika kambi yao, Holmes Park, Belvoir Drive Training Complex jana. Kelvin amejiunga na academy ya Leicester City kufuatia kwenda England kwa masomo
NA DENIS MLOWE, KILOLO WILAYA ya Kilolo mkoani Iringa imeeleza kuwa Kitonga Marathon inayotarajiwa kufanyika Oktoba 31, 2026, itatumika kama jukwaa la kutangaza fursa…