Home Michezo LIVERPOOL YAITANDIKA 3-1 MAN CITY LIGI KUU ENGLAND

LIVERPOOL YAITANDIKA 3-1 MAN CITY LIGI KUU ENGLAND

0

Sadio Mane (kulia) akishangilia na beki Virgil Van Dijk baada ya kuifungia Liverpool bao la tatu dakika ya 51 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Manchester City kwenye Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield leo. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Fabinho dakika ya 6 na Mohamed Salah dakika ya 13, wakati la Man City limefungwa na Bernardo Silva dakika ya 78. Kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 31 baada ya kucheza mechi 11 na sasa inawazidi pointi sita mabingwa watetezi, Man City ambao wanaporomoka hadi nafasi ya nne wakizidiwa ponti moja na zote Leicester City na Chelsea PICHA ZAIDI SOMA  HAPA