Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto),
akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Ramadhani
Kailima (kulia), pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji
Mali la Polisi, wakati alipokuwa anawasili katika ukumbi wa mikutano
wa Wizara, kuzungumza na Wajumbe wa Bodi hiyo, jijini Dodoma,
leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto meza
kuu), akimsikiliza Mjumbe wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la
Polisi, Hilda Tegwa, alipokuwa anazungumza katika ukumbi wa
mikutano wa Wizara, jijini Dodoma, leo. Kulia meza kuu ni Naibu Katibu Mkuu, Ramadhani Kailima. Picha na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na
Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Polisi, katika ukumbi
wa mikutano wa Wizara, jijini Dodoma, leo. Kulia meza kuu ni Naibu
Katibu Mkuu, Ramadhani Kailima. Picha na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani
Kailima akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji
Mali la Polisi, katika ukumbi wa mikutano wa Wizara, jijini Dodoma,
leo. Kulia kwa Kailima ni Waziri wa Wizara hiyo, Kangi Lugola. Lugola
alizungumza na Wajumbe hao, masuala mbalimbali ya uzalishaji mali
na kuwataka kufanya kazi kwa weledi. Picha na Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi.