Home Mchanganyiko Viongozi wa mahakama kuu kanda ya shinyanga waagwa

Viongozi wa mahakama kuu kanda ya shinyanga waagwa

0

Aliyekua Naibu Msajili Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga Mhe. Sekela Mwaiseje(aliyesimama) akizungumza jambo wakati wa hafla fupi ya kumuaga baada ya kuhamia Mahakama Kuu Kanda ya Arusha.

Bw. Bildars Ogenga akitoa salama za shukrani na kuwatakia heri viongozi wa Mahakama Kanda ya Shinyanga ambao wamehama kikazi kwa niaba ya watumishi wa Mahakama kuu Kanda ya Shinyanga.

Aliyekuwa Mtendaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga Bw. Ernest Masanja akiongea jambo wakati wa hafla fupi ya Kumuaga baada ya kuhamia Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba.