Sehemu ya wajumbe wakifuatilia mada katika semina ya kudhibiti sumukuvu wilayani Kiteto leo
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mhandisi Tumaini Magesa akifungua semina ya kuelimisha wadau wa kilimo na mifugo wa Mkoa wa Manyara kuhusu udhibiti wa tatizo la sumukuvu.Semina imefanyika Kiteto kupitia mradi wa TANIPAC.
Picha ya pamoja ya wadau walioshiriki semina ya kuelimisha jamii kudhibiti tatizo la sumukuvu wilayani Kiteto leo
Mratibu wa Mradi wa Kudhibiti Sumukuvu nchini Clepin Josephat akitoa taarifa kuhusu namna mradi utafanya kuelimisha jamii kudhibiti tatizo hili Tanzania Bara na Zanzibar.Mradi wa TANIPAC unatekelezwa kwa miaka mitatu kwa gharama ya Bilioni 45.
Picha zote na Wizara ya Kilimo.