Home Michezo LEVANTE YAIZAMISHA 3-1 BARCELONA LA LIGA

LEVANTE YAIZAMISHA 3-1 BARCELONA LA LIGA

0

Nahodha Lionel Messi akisikitika baada ya Barcelona kuchapwa mabao 3-1 na wenyeji, Levante katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Ciudad de Valencia. Mabao ya Levante yamefungwa na Jose Campana dakika ya 61, Borja Mayoral dakika ya 63 na Nemanja Radoja dakika ya 68, wakati la Barcelona limefungwa na Messi kwa penalti dakika ya 38 PICHA ZAIDI SOMA HAPA