Home Michezo ARSENAL YAZIDI KUTOA SARE EMIRATES

ARSENAL YAZIDI KUTOA SARE EMIRATES

0

Wachezaji wa Arsenal wakirejea katikati kinyonge baada ya Raul Jimenez kuisawazishia Wolverhampton Wanderers dakika ya 76 kufuatia wenyeji kutangulia kwa bao la Pierre-Emerick Aubameyang dakika ta 21 katika sare ya 1-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates mjini London PICHA ZAIDI SOMA  HAPA