Home Mchanganyiko MAAFISA WA TBS WAMETOA ZAWADI KWA WANAFUNZI WA SHULE SEC.KAYENZI MOROGORO

MAAFISA WA TBS WAMETOA ZAWADI KWA WANAFUNZI WA SHULE SEC.KAYENZI MOROGORO

0

Maafisa wa Shirika la Viwango Tanzania wakitoa zawadi kwa mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya Kayenzi iliyopo mkoa wa Morogoro baada ya kujibu swali vizuri.

TBS imetoa elimu kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika mikoa ya Morogoro,Pwani na Dar es salaam ambapo wanafunzi 10,757 wamepata elimu ya Viwango na umuhimu wa kununua bidhaa zilizothibitishwa na TBS na kuahidi kuwa mabalozi wazuri wa utumizi wa bidhaa zilizothibitishwa na kuwafikishia ujumbe huo wazazi walezi na jamii inayowazunguka.