Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Juma Mohamed akitolea ufafanuzi baadhi ya maswala yalioulizwa katika Mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa mjini Magharibi na Wahariri na Wamiliki wa Vyombo vya Habari alipokua akizungumza nao Ofisini kwake Vuga Zanzibar kuhusiana na Ushirikiano na Ofisi yake.
Mkuu wa Habari wa Idara ya Habari Maelezo Ramdhan Ali akiuliza maswali katika Mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa mjini Magharibi na Wahariri na Wamiliki wa Vyombo vya Habari alipokua akizungumza nao Ofisini kwake Vuga Zanzibar kuhusiana na Ushirikiano na Ofisi yake.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Hassan Khatib Hassan akizungumza na Wahariri na Wamiliki wa Vyombo vya Habari kuhusiana na Ushirikiano na Ofisi yake Vuga mjini Zanzibar.
Baadhi ya Wahariri na Wamiliki wa Vyombo vya Habari wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Hassan Khatib Hassan alipokua akizungumza nao Ofisini kwake Vuga Zanzibar kuhusiana na Ushirikiano na Ofisi yake.