Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Dkt. Ally mohamed Sheini Mara baada ya Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Ofisi ndogo za Chama Lumumba Jijini Dar es salaam. Oktoba 30, 2019.