Home Michezo POLISI TANZANIA WAJIFUA KUWAVAA LIPULI

POLISI TANZANIA WAJIFUA KUWAVAA LIPULI

0

Wachezaji wa Polisi Tanzania Yassin Mustapha (kushoto) na Mohamed Mkopi wakiwa katika mazoezi uwanja wa Samora Iringa kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania dhidi ya Lipuli  utakaochezwa kesho jumatano katika uwanja huo.

Wachezaji wa Polisi Tanzania Baraka Majogoro (kushoto) na Yassin Mustapha wakiwa katika mazoezi uwanja wa Samora Iringa kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania dhidi ya Lipuli  utakaochezwa kesho jumatano katika uwanja huo.

Wachezaji wa Polisi Tanzania wakiwa katika mazoezi uwanja wa Samora Iringa kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania dhidi ya Lipuli  utakaochezwa kesho jumatano katika uwanja huo.

(Picha na Polisi Tanzania Football Club)