Home Mchanganyiko KHERI YA KUZALIWA RAIS WETU DKT.JOHN MAGUFULI

KHERI YA KUZALIWA RAIS WETU DKT.JOHN MAGUFULI

0

Leo, Oktoba 29, 2019 Rais huyo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Joseph Magufuli anatimiza umri wa miaka 60.

Rais Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) alizaliwa Oktoba 29, 1959 Wilayani Chato  Mkoa wa Geita.

Uongozi na wafanyakazi wote wa Flavour Media Company Limited tunakutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa Rais Magufuli, uishi miaka mingi zaidi hapa duniani, Mwenyezi Mungu akupe afya, ulinzi na hekima ili uiongoze vyema Tanzania na watu wake kwa umoja, mshikamano, amani na maendeleo thabiti kwa vizazi vya leo na vijavyo.