RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kitambulisho Kipya cha Mzanzibar Mkaazi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizindua Kitambulisho Kipya cha Mzanzibar Mkaazi,( kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri, hafla hiyo ya Uzinduzi imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kitambulisho Kipya cha Mzanzibar Mkaazi Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Mhe.Zuberi Ali Maulid, wakati wa hafla hiyo ya Uzinduzi iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdilwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kitambulisho Kipya cha Mzanzibar Mkaazi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Haji Omar Kheri, hafla hiyo yac Uzinduzi imefanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar leo 29-10-2019.(Picha Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kitambulisho Kipya ya Mzanzibar Mkaazi, Makamu wa Rais Mstaaf wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Hassan Khatib Hassan akionesha Kitambulisho chake Kipya cha Mzanzibar Mkaazi baada ya kukabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu).