Beki Mgiriki wa Arsenal, Sokratis Papastathopoulos akilalamika baada ya kukataliwa bao lake dakika za mwishoni kufuatia refa Martin Atkinson kutazama marudio ya picha za video (VAR) wakitoa sare ya 2-2 na Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates. Mabao ya Arsenal yamefungwa na Papastathopoulos dakika ya saba na beki mwingine, Mbrazil David Luiz dakika ya tisa, wakati ya Crystal Palace yamefungwa na Luka Milivojevic kwa penalti dakika ya 32 na Jordan Ayew dakika ya 52 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
REFA AKATAA BAO LA ARSENAL DAKIKA ZA LALA SALAMA YASHIKWA NA CRYSTAL PALACE
By Alex Sonna
October 28, 2019 | 3:53 am

Related Stories
View all
Michezo
2 days ago
YAS KUUNGA MKONO KAMPENI YA AFYA BORA, MAISHA BORA KWA MIAKA 3 IJAYO
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na mlezi wa kampeni ya Afya Bora, Maisha Bora, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, akimkabidhi Afisa Mtendaji Mkuu…
Michezo
3 days ago
TMDA QUEENS YAANZA VYEMA SHIMMUTA-2026, YAICHAPA IAE MAGOLI 45–23
Morogoro Timu ya Netiboli ya Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA Queens) imeanza kwa ushindi mashindano ya SHIMMUTA-2026 baada ya kuichapa timu ya…
