Mkaguzi wa Afya ya Mazingira kutoka OSHA Bi Glory Boniventure akimuelezea Mhe. Jenista Mhagama Waziri wa Nchi Ofisi ya waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana na Wenye Ulemavu, matumizi ya Vifaa ambavyo vimetolewa na Shirika la Kimataifa la Workplace,Health Without,Borders (WHWB) vitakavyotumiwa na wakaguzi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama, akiwa na kaimu Mtendaji Mkuu wa OSHA Bi Khadija Mwenda Kwenye Kufunga Mafunzo Kwa Wakaguzi wa OSHA Jijini Arusha.Mhandisi Maria Ndaskoy akimuelezea Mhe. Jenista Mhagama Vwaziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu, Vifaa vya Umeme vilivyotolewa na WHWB kwa OSHA.