Home Michezo Ligi kuu ya Serengeti Lite Kuanza hivi karibuni

Ligi kuu ya Serengeti Lite Kuanza hivi karibuni

0

Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Wanawake (TWFA) Amina Karuma (kati kati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutangaza kuanza kwa Ligi ya Wanawake inayodhaminiwa na Kampuni ya SBL kupitia bia yake ya Serengeti Lite. Kulia nini Afisa habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Cliford Ndimbo na kushoto ni Afisa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Brewerieas (SBL) George Mango

Afisa habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Cliford Ndimbo (kati kati), akizungumza na waandishi wa habari wakati akitangaza kuanza kwa Ligi ya Wanawake inayodhaminiwa na Kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL)kupitia bia yake ya Serengeti Lite. Kushoto ni Afisa Masoko wa SBL George Mango na kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Wanawake (TWFA) Amina Karuma

Afisa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Brewerieas (SBL) George Mango (kati kati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutangaza kuanza kwa Ligi ya Wanawake inayodhaminiwa na Kampuni ya SBL kupitia bia yake ya Serengeti Lite. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Wanawake (TWFA) Amina Karuma na kulia ni Afisa habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Cliford Ndimbo

Baadhi ya waandishi wa habari, wakifutilia mkutano wa kutangaz kuanza kwa Ligi ya Wanawake inayodhaminiwa na Kampuni ya SBL kupitia bia yake ya Serengeti Lite itakayoanza kesho ikishirikisha timu 12 zitakazocheza ugenini na nyumbani.