Home Michezo INTER MILAN YAIZAMISHA 2-0 BORUSSIA DORTMUND

INTER MILAN YAIZAMISHA 2-0 BORUSSIA DORTMUND

0

Antonio Candreva akikimbia kushangilia kifua wazi baada ya kuifungia Inter Milan bao la pili dakika ya 89 kufuatia Lautaro Martinez kufunga la kwanza dakika ya 22 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Borussia  Dortmund kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Giuseppe Meazza mjini Milan PICHA ZAIDI SOMA  HAPA