Antonio Candreva akikimbia kushangilia kifua wazi baada ya kuifungia Inter Milan bao la pili dakika ya 89 kufuatia Lautaro Martinez kufunga la kwanza dakika ya 22 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Borussia Dortmund kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Giuseppe Meazza mjini Milan PICHA ZAIDI SOMA HAPA
INTER MILAN YAIZAMISHA 2-0 BORUSSIA DORTMUND
By Alex Sonna
October 24, 2019 | 3:35 am

Related Stories
View all
Michezo
3 hours ago
YANGA SC YAIFUNGA GEITA GOLD KWA TABU, DAR ES SALAAM
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC, wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu…
Michezo
13 hours ago
RAIS WA BARCELONA ATUMA SALAMU ZA POLE KWA RAIS SAMIA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameanza ziara maalum ya siku nne katika Klabu ya FC Barcelona nchini Hispania kwa mwaliko…
