Home Michezo TOTTENHAM HOTSPUR YAFUFUKA LIGI YA MABINGWA,YAICHAPA 5-0 RED STAR BELGRADE

TOTTENHAM HOTSPUR YAFUFUKA LIGI YA MABINGWA,YAICHAPA 5-0 RED STAR BELGRADE

0

Son Heung-min akifurahia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur mabao mawili dakika za 16 na 44 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Red Star Belgrade kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Tottenham Hotspur mjini London. Mabao mengine ya Spours yalifungwa na Harry Kane mawili pia dakika ya tisa na 72 na Erik Lamela dakika ya 57 PICHA ZAIDI SOMA HAPA