Robert Lewandowski akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich mabao mawili dakika za 34 na 62 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya wenyeji, Olympiacos kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Georgios Karaiskáki mjini Piraeus. Bao lingine la Bayern Munich lilifungwa na Corentin Tolisso dakika ya 75, wakati ya Olympiacos yalifungwa na Youssef El-Arabi dakika ya 23 na Guilherme dakika ya 79 na kwa mabao yake mawili jana, Lewandowski amepanda nafasi ya tano katika orodha ya wafungaji bora wa muda wote wa Ligi ya Mabingwa Ulaya PICHA ZAIDI SOMA HAPA
LEWANDOWSKI AIPA USHINDI BAYERN MUNICH UGENINI LIGI YA MABINGWA ULAYA
By Alex Sonna
October 23, 2019 | 4:17 am

Related Stories
View all
Michezo
2 days ago
MALIASILI YAWATOA JASHO WAZEE SHIMIWI 2026
.Na Sixmund Begashe, Moshi WIZARA ya Maliasili na Utalii kupitia Club yake ya Michezo, imeendelea kuwa gumzo kwenye Michezo ya SHIMIWI 2026 baada ya…
Michezo
3 days ago
MGUMBA ALETA DHAHABU NYINGINE MALIASILI
Na Sixmund Begashe, Moshi WAPENZI wa michezo wa Mkoa wa Kilimanjaro wameendelea kushuhudia Wizara ya Maliasili na Utalii ikisomba medali ya tatu ya dhahabu…
