Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Isack Kamwelwe (katikati) akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakati Kamati hiyo ilipotembelea Jengo la tatu la Abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Meneja wa Jengo la tatu la Abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Bw. Burton Komba akiwaelezea jambo Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakati Kamati hiyo ilipotembelea jengo hilo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Isack Kamwelwe (katikati) akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakati Kamati hiyo ilipotembelea Bandari ya Dar es Salaam mapema leo.
Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Mhe. Adadi Rajabu (katikati) akieleza jambo wakati Kamati hiyo ilipokutana na Watendaji wa Bandari ya Dar es Salaam mapema leo.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania Bw. Deusdedit Kakoko (katikati) akiwaeleza jambo Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakati Kamati hiyo ilipotembelea Bandari ya Dar es Salaam mapema leo.
PICHA NA BUNGE