Home Michezo DYBALA AING’ARISHA JUVENTUS APIGA MBILI YAITANDIKA 2-1 LOKOMOTIC MOSCOW

DYBALA AING’ARISHA JUVENTUS APIGA MBILI YAITANDIKA 2-1 LOKOMOTIC MOSCOW

0

Mshambuliaji Muargentina, Paulo Dybala akishangilia baada ya kuifungia mabao yote mawili Juventus dakika za 77 na 79 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Lokomotiv Moscow kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Allianz mjini Torino. Bao la Lokomotiv Moscow lilifungwa na Aleksey Miranchuk dakika ya 30 PICHA ZAIDI SOMA HAPA