Home Mchanganyiko WAZIRI LUGOLA APOKEA TAARIFA YA UCHUNGUZI WA WATUMISHI WALIOKUWA NIDA KUUZIWA MAGARI...

WAZIRI LUGOLA APOKEA TAARIFA YA UCHUNGUZI WA WATUMISHI WALIOKUWA NIDA KUUZIWA MAGARI YA SERIKALI, AIPONGEZA KAMATI

0

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (meza kuu kushoto),
akimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Uchunguzi wa Watumishi waliokuwa wa
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuuziwa magari ya Serikali, Wamoja
Ayubu (watatu kushoto), alipokuwa anaiwasilisha taarifa hiyo katika ukumbi wa
mikutano wa Wizara, jijini Dodoma, leo. Kamati hiyo iliteuliwa na Katibu Mkuu
wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu (kulia meza kuu), Septemba 16, 2019
na ilipewa hadidu za rejea 13 kwa ajili ya kufanikisha kazi hiyo. Wapili kulia ni
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara hiyo, Emmanuel
Kayuni, na kulia Mkurugenzi Msaidizi Utawala, Subira Sawasawa, pamoja na
wajumbe wa kamati hiyo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia), akipokea taarifa ya
Uchunguzi wa Watumishi waliokuwa wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
(NIDA) kuuziwa magari ya Serikali, kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo,
Wamoja Ayubu, katika ukumbi wa mikutano wa Wizara, jijini Dodoma, leo.
Kamati hiyo iliteuliwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob
Kingu (hayupo pichani), Septemba 16, 2019 na ilipewa hadidu za rejea 13 kwa ajili ya kufanikisha kazi hiyo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (katikati), akizungumza katika
kikao cha kupokea taarifa ya Kamati ya Uchunguzi wa Watumishi waliokuwa wa
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuuziwa magari ya Serikali,
kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara, jijini Dodoma, leo. Kamati
hiyo iliteuliwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu
(kulia), Septemba 16, 2019 na ilipewa hadidu za rejea 13 kwa ajili ya kufanikisha kazi hiyo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Wamoja Ayubu. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchunguzi wa Watumishi waliokuwa wa Mamlaka ya
Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuuziwa magari ya Serikali, Wamoja Ayubu,
akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola
(katikati), wakati alipokuwa anaiwasilisha taarifa yake ya uchunguzi kwa Waziri
huyo pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu (kulia),
katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola (wapili kulia), Katibu Mkuu
wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu (kulia), wakiwa katika picha ya
pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchunguzi wa Watumishi waliokuwa wa
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuuziwa magari ya Serikali, Wamoja
Ayubu (wapili kushoto), pamoja na wajumbe wa Kamati hiyo. Mstari wa nyumba
kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara hiyo,
Emmanuel Kayuni, na kulia Mkurugenzi Msaidizi Utawala, Subira Sawasawa.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.