Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA JUMUIYA YA MAHAKIMU NA...

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA JUMUIYA YA MAHAKIMU NA MAJAJI ZANZIBAR

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinatil Bahar Mbweni Zanzibar.

Baadhi ya Viongozi mbalimbali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinatil Bahar Mbweni Zanzibar.

Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu akitoa hotuba na kumkaribisha mgeni rasmiĀ  katika hafla ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinatil Bahar Mbweni Zanzibar.