Mwenyekiti wa Jukwaa la Wanawake Wilaya ya Mkuranga,Mariam Ulega akitoa maelekezo kwa wakazi wa wilaya hiyo waliojitokeza kwa wingi kushiriki kazi za usafi katika barabara ya Kisiju ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli la kufanya usafi.
Mwenyekiti wa jukwaa la wanawake wilaya ya Mkuranga,Mariam Ulega (wa pili kushoto) akiwa na Mganga Mkuu wa Wilaya Mkuranga,Dkt. Steven Mwandambo (wa kwanza kulia)wakishiriki kazi za usafi katika barabara ya Kisiju leo ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli la kufanya usafi. Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv.
Mwenyekiti wa jukwaa la wanawake wilaya ya Mkuranga,Mariam Ulega (wa kwanza kulia)akiwa na wananchi wa wilaya hiyo wakiendela na kazi ya usafi katika barabara ya Kisiju leo wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani.
Mwenyekiti wa jukwaa la wanawake wilaya ya Mkuranga,Mariam Ulega akiwa na wananchi wa wilaya hiyo wakiendela na kazi ya usafi katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo.