Home Mchanganyiko Madhara ya Zebaki ni Makubwa “Wananchi Watakiwa Kuwa Makini”

Madhara ya Zebaki ni Makubwa “Wananchi Watakiwa Kuwa Makini”

0

 Waziri wa
Madini, Doto Biteko amewataka wananchi hususani wachimbaji wadogo wa dhahabu kuwa makini na matumizi ya Zebaki kwenye uchenjuaji wa madini hayo wakati Serikali ikitafuta
njia mbadala ya kemikali hiyo.
 
Waziri
Biteko ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe ameyasema hayo wakati akizungumza
kwenye Kikao cha Kamati ya Ushauri (RCC) Mkoa Geita, kilichofanyika Oktoba 16,
2019.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Waziri wa Madini, Doto Biteko akizungumza kwenye kikao hicho.
 Afisa Madini Mkazi Mkoa Geita, Daniel Mapunda akiwasilisha taarifa ya Madini ya Mkoa huo.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye kikao hicho.