Home Mchanganyiko MAJALIWA AZUNGUMZA NA WADAU WA MAENDELEO WA MANISPAA YA LINDI

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WADAU WA MAENDELEO WA MANISPAA YA LINDI

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao cha Wadau wa Maendeleo wa Manispaa ya Lindi kwenye ukumbi wa Hoteli ya Sea View mjini Lindi, Oktoba 12, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao cha Wadau wa Maendeleo wa Manispaa ya Lindi kwenye ukumbi wa Hoteli ya Sea View mjini Lindi, Oktoba 12, 2019. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi na kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi, Bi. Rehema Madenge. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).