Home Mchanganyiko WAZIRI KIGWANGALLA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI JIMBO LA NZEGA VIJIJINI

WAZIRI KIGWANGALLA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI JIMBO LA NZEGA VIJIJINI

0

Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Jimbo la Nzega vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla kwa nyakati tofauti akizungumza na wananchi, viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na wadau mbalimbali wa maeneo mbalimbali ya jimbo la Nzega Vijijini alipofanya mikutano ya kuimarisha Chama na kutatua kero za wananchi.

Baadhi ya wakazi wa Jimbo la Nzega vijijini wakimpokea kwa shangwe Mbunge wao ambaye pia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla alipofanya ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo hilo kwa lengo la kuzungumza na wananchi na kutatua kero zao.

Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Jimbo la Nzega vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na wananchi, viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na wadau mbalimbali wa jimbo la Nzega Vijijini alipofanya mikutano ya kuimarisha Chama na kutatua kero za wananchi.

PICHA – Aron Msigwa –WMU, Nzega.