Home Mchanganyiko MKURUGENZI WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA (TMA) AFUNGUA SEMINA YA WAANDISHI...

MKURUGENZI WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA (TMA) AFUNGUA SEMINA YA WAANDISHI WA HABARI LEO

0

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania na Makamu wa Rais wa Tatu wa shirika la Hali ya Hewa (WMO) Duniani  Dk. Agnes Kijazi akifafanua jambo kuhusu utabiri wa mvua za vuli ambao utatangazwa kesho mara baada ya kufungua semina ya wanahabari inayofanyika leo kwenye makao makuu ya Mamlaka ya Hali ya hewa (TMA) Ubungo Plaza jijini Dar es salaam .

Bw. Samwel Mbuya Meneja Kituo Kikuu cha Utabiri TMA akimkaribisha Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Dk. Agnes Kijazi kufungua semina kuhusu utabiri wa mvua za vuli ambao utatangazwa kesho  kwenye makao makuu ya Mamlaka ya Hali ya hewa (TMA) Ubungo Plaza jijini Dar es salaam .

Abubakar Lungo Mchambuzi wa Utabiri wa hali ya hewa kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa TMA akiwasilisha mada kwa waandishi wa habari inayofanyika Makao makuu ya TMA Ubungo Plaza, kuhusu utabiri wa mvua za vuli unaotarajiwa kutolewa kesho na mamlaka hiyo.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Dk. Agnes Kijazi akifafanua jambo kuhusu utabiri wa mvua za vuli ambao utatangazwa kesho mara baada ya kufungua semina ya wanahabari iliyofanyika leo kwenye makao makuu ya Mamlaka ya Hali ya hewa (TMA) Ubungo Plaza jijini Dar es salaam .

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Dk. Agnes Kijazi akiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa habari  mara baada ya kufungua semina iliyofanyika leo kwenye makao makuu ya Mamlaka ya Hali ya hewa (TMA) Ubungo Plaza jijini Dar es salaam .