Home Mchanganyiko Waziri Mkuu afungua Maadhimisho ya Wiki ya Viwanda Kitaifa, kwenye uwanja wa...

Waziri Mkuu afungua Maadhimisho ya Wiki ya Viwanda Kitaifa, kwenye uwanja wa Bombadia mjini Singida

0

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa na Mkewe, Marry Majaliwa (wapili kulia) akisalimiana na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Stela Manyanya, wakati akiwasili kwenye uwanja wa Bombadia Singinda, kufungua maadhimisho ya Wiki ya Viwanda Kitaifa, Oktoba 6.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikata utepe , kufungua maadhimisho ya Wiki ya Viwanda Kitaifa, kwenye uwanja wa Bombadia mjini Singinda, Oktoba 6.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa na Mkewe, Marry Majaliwa (kulia) akifafanuliwa jambo na Afisa Masoko Mwandamizi wa TBS, Gladness Kaseka, wakati alipotembelea mabanda, katika ufunguzi wa  maadhimisho ya Wiki ya Viwanda Kitaifa, yaliyofanyika kwenye uwanja wa Bombadia mjini Singinda, Oktoba 6.2019. Kushoto ni Afisa Mkaguzi TBS, Domisiano Rutahala. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mbegu ya kisasa ya alizeti, kwenye banda la Chama cha Wasindikaji Mafuta wa Mkoa wa Singida (SISUPA), wakati alipotembelea mabanda, katika ufunguzi wa maadhimisho ya Wiki ya Viwanda Kitaifa, yaliyofanyika kwenye uwanja wa Bombadia mjini Singinda, Oktoba 6.2019. Anayetoa ufafanuzi (katikati) ni Mwenyekiti wa Wasindikaji hao, Juma Mene. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Meneja wa Kituo cha Kuendeleza Teknolojia (SIDO), Arthur Ndedya, wakati akitembelea banda la SIDO, katika ufunguzi wa maadhimisho ya Wiki ya Viwanda Kitaifa, yaliyofanyika kwenye uwanja wa Bombadia mjini Singinda, Oktoba 6.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).