Wana Kwaya ya Vijana wa Right Angels Moravian Church ya Tunduma wakipata chaikatika Ikulu ndogo ya Tunduma walipokaribishwa kuonana na Rais Dkt. John. Pombe Magufuliambaye aliwaita na kuonana nao baada ya kufurahishwa na wimbo waomzuri wa kulaani rushwa waliomwimbia wakati wa zira yake mkoani humo.
Mkuu wa Wilaya ya Tunduma Mhe. Juma Irando akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe Mhe. David Kafulila wakiwa wameongozana na wanaKwaya ya Vijana wa Right Angels Moravian Church ya Tunduma wakiwasili Ikulu ndogo ya Tunduma kuonana na Rais Dkt John. Pombe Magufuliambaye alikaribisha na kuonana nao baada ya kufurahishwa na wimbo waomzuri wa
kulaani rushwa waliomwimbia wakati wa zira yeke mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pompe
Magufuli na mkewe Mama Janeth Mafuguli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali Nicodemus Elias Mwangela, Mkuu wa Wilaya ya Tunduma Mhe. Juma Irando akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe Mhe. David Kafulila na wanaKwaya ya Vijana wa Right Angels Moravian Church ya Tunduma walipokuwa Ikulu ndogo ya Tunduma kuonana na Rais Dkt John. Pombe Magufuli ambaye alikaribisha na kuonana nao baada ya
kufurahishwa na wimbo wao mzuri wa kulaani rushwa waliomwimbia wakati wa zira yeke mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pompe
Magufuli na mkewe Mama Janeth Mafuguli katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali Nicodemus Elias Mwangela, Mkuu wa Wilaya ya Tunduma Mhe. Juma Irando, Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe Mhe. David Kafulila na wanaKwaya ya Vijana wa Right Angels Moravian Church ya Tunduma katika Ikulu ndogo ya Tunduma kuonana na Rais Dkt John. Pombe Magufuli ambaye aliwaita na kuonana nao baada ya kufurahishwa na wimbo wao mzuri wa kulaani rushwa waliomwimbia wakati wa zira yeke mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pompe Magufuli na mkewe Mama Janeth Mafuguli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali Nicodemus Elias Mwangela, Mkuu wa Wilaya ya Tunduma Mhe. Juma Irando, Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe Mhe. David Kafulila wakiimba na wanaKwaya ya Vijana wa Right Angels Moravian Church ya Tunduma katika Ikulu ndogo ya Tunduma walipokwenda kuonana na Rais Dkt John. Pombe Magufuli ambaye aliwaita na kuonana nao baada ya kufurahishwa na wimbo wao mzuri wa kulaani rushwa waliomwimbia wakati wa zira yeke mkoani humo. Aliyesimama muelle ni kiongozi wa kwaya hiyo Joana Schinga.
PICHA NA IKULU