Home Michezo ARSENAL YAICHAPA 1-0 BOURNEMOUTH

ARSENAL YAICHAPA 1-0 BOURNEMOUTH

0

Beki Mbrazil, David Luiz akiwa juu kabisa kupiga mpira kichwa kuifungia bao pekee Arsenal dakika ya tisa ikiilaza 1-0 AFC Bournemouth katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Emirates mjini London PICHA ZAIDI SOMA HAPA