MchanganyikoMKUU WA TAKWIMU ZA BEI ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR Last updated: 2019/10/04 at 12:29 PM Alex Sonna 5 years ago Share ???????????????????????????????????? SHARE Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika mkutano kuhusu Takwimu za Bei ambapo imeonekana kupanda kutoka Asilimia 2.1 kwa mwezi uliomaliziaSeptemba 2019 hadi kufikia Asilimia 2.2 kwa Mwezi wa Septemba 2019,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar. Mkuu wa Takwimu za Bei kutoka Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Abdul-Rahman Msham(katikati)akitoa takwimu za Bei ambapo imeonekana kupanda kutoka Asilimia 2.1 kwa mwezi uliomaliziaSeptemba 2019 hadi kufikia Asilimia 2.2 kwa Mwezi wa Septemba 2019,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar. Mhadhiri na Mkuu wa Idara ya Uchumi Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Suleiman Simai Msaraka akitolea Ufafanuzi baadhi ya Maswala yalioulizwa katika Mkutano wa Waandishi kuhusu Takwimu za Bei ambapo imeonekana kupanda kutoka Asilimia 2.1 kwa mwezi uliomaliziaSeptemba 2019 hadi kufikia Asilimia 2.2 kwa Mwezi wa Septemba 2019,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar. Meneja Uchumi Benki Kuu ya Tanzania tawi la Zanzibar Moto Ng’winganele Lugobi akijibu maswali yalioulizwa na Waandishi katika Mkutano wa Waandishi kuhusu Takwimu za Bei ambapo imeonekana kupanda kutoka Asilimia 2.1 kwa mwezi uliomaliziaSeptemba 2019 hadi kufikia Asilimia 2.2 kwa Mwezi wa Septemba 2019,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR. Alex Sonna October 4, 2019 October 4, 2019 Share this Article Facebook Twitter Email Print Previous Article ZIARA YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU MKOANI SINGIDA Next Article WAZIRI MKUU AMPA SIKU TATU MHAZINI ITIGI AREJESHE POSHO ALIYOJILIPA KINYUME CHA TARATIBU