MchanganyikoMKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI KUHUSIANA NATAARIFA YA KUONDOA ADHABU,RIBA NA FAINI KWA WALIPA KODI WAFANYIKA ZANZIBAR Last updated: 2019/10/04 at 12:38 PM Alex Sonna 5 years ago Share ???????????????????????????????????? SHARE Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano kuhusiana na Taarifa ya kuondoa Adhabu,Riba na Faini mwaka 2019 kwa malengo ya kutoa Fursa kwa walipa kodi kusawazisha madeni yao hafla iliofanyika ukumbi wa ZRB Mazizini Zanzibar. Meneja Uhusiano na Huduma kwa walipa kodi Bodi ya Mapato Zanzibar ZRB Shaaban Yahya Ramadhan akitoa ufafanuzi kuhusiana naTaarifa ya kuondoa Adhabu,Riba na Faini mwaka 2019 kwa malengo ya kutoa Fursa kwa walipa kodi kusawazisha madeni yao hafla iliofanyika ukumbi wa ZRB Mazizini Zanzibar. Mwandishi wa Habari wa Hits Fm Rehema Juma Mema akiuliza maswali katika Mkutano kuhusiana na Taarifa ya kuondoa Adhabu,Riba na Faini mwaka 2019 kwa malengo ya kutoa Fursa kwa walipa kodi kusawazisha madeni yao hafla iliofanyika ukumbi wa ZRB Mazizini Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR. Alex Sonna October 4, 2019 October 4, 2019 Share this Article Facebook Twitter Email Print Previous Article WAZIRI SIMBACHAWENE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NORWAY Next Article WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA MAJI MANYONI