Home Michezo MAN CITY YAZIDI KUPETA LIGI YA MABINGWA ULAYA

MAN CITY YAZIDI KUPETA LIGI YA MABINGWA ULAYA

0

Mshambuliaji Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 66, zikiwa ni dakika 10 tu tangu aingie kuchukua nafasi ya Bernardo Silva kabla ya Phil Foden kufunga la pili dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Dinamo Zagreb kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Etihad PICHA ZAIDI SOMA HAPA